Dear Bro,
Manze Leo itabidi umelala huko mahali ulienda asubuhi juu sidhani Dad amekungojea mpike ugali ama mnadance Odi😂 Nimejaribu kukutetea mzae atulie at least nikaulizwa kwani nataka kujiapisha kwa nyumba yake ikabidi nimewithdraw😂 Wallahi, si mzae ameshtuka juu haamini amekuwa akiishi na ng'ombe mbili kwa nyumba na huwa hazikamui ( Me & U) . FYI, hata nimeskia akisuggest ati jioni tupikiwe Napier Grass juu yenyewe results zako zinaonesha wewe ni ng'ombe ya grade 😂 Lakini surely bro, yaani uliamua result slip yako itakuwa na D mingi hiyo design ? Kwani ulifanyia exam Sabina Joy bro ? Kwani wewe ni Joho? Ati mpaka inakaa ni kama naonesha watu nudes kwa simu juu ya venye naficha hizi D? Haidhuru.😂 Btw kuna maneiba wanasema utawarudishia pesa yao ya kukununulia success card ati ungefaa utumiwe kamba ujinyonge tupatane Canaan😂 Lakini saa zingine pia wewe hunibamba. Yaani, mpaka CRE ulikwachua D 😂 mpaka mzae anauliza ni pastor mgani anaeza kubali kukubatiza 😂 Nimesuggest, Pastor Kanyari nkaambiwa ninyamaze ama nikufuate ; so inaonekana itabidi umejibatiza jina yako ya FB - "Maji ya Ugali" 😂
Anyway, yaliyopite si ndwele lakini hii yako haipitiki😂 Mimi sidhani utamaliza hiyo Driving juu mzae ameshatafuta Fundi wa kukujengea cowshed hapa nje ati juu haamini utapita 😂 Alafu, itabidi umeambia Kevo pia yeye asirudi home juu mzae wake anataka kujua kama kumpeleka chuo ilikuwa nikubet amebet .
Stay Safe.
Urs truly,
Big Bro.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂