[Intro: Nyashinski]
Yeh!
Niko hapa kuwapa muziki mzuri wako hapa tu kuwa famous
Ama juu waliskia ma-rapper hupendwa na madem, bas'
Wanajiita lyricists, kwa hizi interviews -na mimi tu ndio nimetoa lyric video ika ita a million views, how?
[Interlude: Nameless]
Ati Nyashi area si ulikam na ubaya
Iko watu husema heri hata ungekwamia Ulaya
Umerudi wasanii wakaanza kuambiwa retire
Secular lakini unaandika gospel fire
[Verse 1: Nyashinski]
Si live a lie, najua nta sound kama niko ma drei but juzi walai
Nilipanda matatu na Trey na siuzi mayai
Nimetoka mbali aisee na siishi Rongai
TRUE STORY
Klepto si mtarudiana lakini
Hatujai achana tunaruadiana kwanini
Na machali wa Inshalla mi name na hawa vijana wawili
Tutazidi sana kando na kukosana niamini
Tusipimane akili mi nina kichaa
Waambie waache kujichokesha ulimi mi ndo teacher
Enyewe manze wataacha lini, kujichocha ju ni clear tukisimama hao na mimi mi ndio mnaprefer
[Hook]
AMINIA
Oh nana nana na na na na
AMINIA
Oh nana nana na na na na Eh
AMINIA
Oh nana nana na na na na Eh
AMINIA
Oh nana nana na na na na Eh
Ah ah ah ah ah YEH
AMINIA (X3)
[Verse 2: Nyashinski]
Kuna tenje yangu fulani heri ibaki mteja tuAu nkitoka niachange kwa keja tu
Najua ikilia ni mtu anataka favour tu
Kila converstation ni kama Deja Vu
Maisha imejaa na watu fake si uongo
Na visu zakunidunga nkiwageuzia mgongo
Washa sense ntakafunga so wananyemelea
Siezi afford kumwaga unga najitegemea
Sieki imani kwa binadamu mimi
Naeka imani kwa God si kwa sanam mimi
Ah, ka skupendi skufichi
No pretending hata simu zenu mi sishiki
N'kuwe pissed kwa nini, siko pissed niamini mi niko bied
Na go through vitu real ka nyinyi mimi pia
Maybe tu argue beats au beer situezi argue iko rapper anatoa hita ka mimi
AMINIA
[Hook]
AMINIA
Oh nana nana na na na na
AMINIA
Oh nana nana na na na na Eh
AMINIA
Oh nana nana na na na na Eh
AMINIA
Oh nana nana na na na na Eh
Ah ah ah ah ah YEH
AMINIA (X3)
[Verse 3: Nyashinski]
Philosophy yangu ni Don’t worry chema chajiuza
Sijieki na Don Larry ama Martin Luther
Nani huyo asiyenenwa na interview, sio mimi
Nkianza hii kitu ni watu wa few waliamini
Nabii akosi heshima ispokuwa kwa nchi yake
Kwa jamaa zake na nyumbani mwake X2
Hii ni ya kila mtu uliza ka anapenda rapper akaniambia ako 50-50
Kila mtu ana consider kuingia hii biz ya mziki but ameambiwa ati mziki hailipi
Kukopa juu ni passion basi kazi hata
Ka we ni rapper ati juu ni fashion hatukutaki hapa
Hii ni ya msanii mwenye animba na guitar anaimba for free
Na ntaendelea hata ka najua ata hajalipwa
YEAH
[Outro]
Hii ni kwa mtoi yeyote ako na dream
Siku moja joh niwewe wataita KING
Jione umpanda stage na umeshika
Usiwai sahau mahali umetoka juu umefika Aminia
Schoki, schoki, schoki
Style mingi kushinda menu ya kinyozi
AMINIA
Naeza fly wengine hawatoshi
AMINIA
Aminia, aminia, aminia
AMINIA
Ah ah ah ah ah aye
AMINIA (x3)
Oh, nanana
AMINIA