VERSE1
“….Ntakunyonga na hiyo kamba kaa mic si cordless;
Sosuun anawa-kill wife si useless;
Sikuhizi nina sporty sahara ni Sunday best;
Naeza ifanya tena KenRazy mi ndio the best;
Me , Myself and I, mi niko Me-full;
Juu ya uhai mi niko grateful;
wee unasema half empty, mi nasema half full;
Juu naangalia where im going, mi niko hopeful;
Nafula anapenda Tempo ya Dufla;
Maji ika-come speedy ako nawa-full;
Vile ni m-Luhya, nambuyia kuku full;
anasema… “aki Razy unakuwanga wonderful”
Sugua gaga , sugua Lady dada;
Sikuhizi thong ndani ya club hata hawana;
thoughtful, narudisha wa-Kenya dancefloor;
wanashukuru wanasema, they are very thankful;….”
style="display:inline-block;width:320px;height:100px"
data-ad-client="ca-pub-9962058196269962"
data-ad-slot="7969394533">
#VERSE2
“….Sponsor anafanya boy, anakuwa stressful;
ana work ndio but hana bag za duffle;
ma-politician wanafanya kazi,
juu wanajua sai wanataka #IleKitu,
Nina mtoi dem tena beautiful;
Mistari sai lazima niwe careful;
“daddy ukweli ulisema hivo?”
Ni juu ya job tu mom, msidhani nawa-fool;
Naifanya easy, na inatoka powerful;
wana-try ku-do kaa mi, wana-sound awful;
hawaniwezi hawa wasanii
bado kwa stage nawafanyianga #ileKitu;
Ukona dem na bado unahanya #ileKitu;
you never know mpaka ile siku,
ataenda, The best things in life are free,
Koinange street si poa, mi nabaki faithful;….”
VERSE3
“….Nilifikiria kufanya collabo,
nikaona wacha tu nitafanya remix;
Piga selfie clear si lazima uchome picha
acha nikuombee,”nani hapa ana ile simu?”
Sikuhizi club ukienda kwa dancefloor,
watu wanakuangalia ni kama wee ni chizi;
Vera Sidika aki-twerk na hii ngoma,
atakuwa ameifanyia #ileKitu;
when i die no moment of silence,
pigeni kelele mafans wangu cheerful;
Razy , Razy , Razy , Razy,
Qrazyman toka siku za F2;
Henry fan toka siku za O2;
Tumia CD kaa hauko ready,
wacha zile za,”nani hapa ana ile P2?